JPM "Sitoki nje ya Afrika , Mbona wao Hawaji Afrika"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


“Tangu nimekuwa Rais sijawahi kutoka Nje ya Africa na nataka nimalize miaka mitano bila kutoka Nje ya Afrika kwasababu tunaowatembelea nao wanakaa kwenye Nchi zao hawaji Afrika” - JPM

“Zanzibar pana amani lakini Wavuruga amani wapo na vibaraka wapo na hawaishi, walikuwepo tangu enzi za mitume , hata Mungu aliumba Malaika wakataka kuwa kama yeye akawafukuza ndio wakawa Mashetani, Vibaraka hawaishi “- JPM ,

“Vibaraka wavuruga amani hawaishi, muda mwingine mnaweza mkafanya Uchaguzi ukamalizika mwingine akawa anasema nitaapishwa tu, msubiri nakuja kuapishwa“ - JPM
 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad