Otile Brown amtungua VERA Sidika.."Sikumpenda Hata Kidogo Yeye Ndio Alinitongoza"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwimbaji huyo wa Kenya amesema kimwili kamwe hakuwahi kuvutiwa na Vera hata siku moja isipokuwa Vera ndie alianza kumtongoza mwenyewe wawe wapenzi -

Otile alikuwa akijibu madai kuwa alitoka kimapenzi na socialite huyo ili kujipatia umaarufu ambapo anasema yeye alikuwa tayari ni maarufu hata kabla hawajawa wapenzi na Vera -

Wawili hao penzi lao lilivunjika 2018 ambapo Vera alijitosa kumlipua Otile kuwa kitandani alikuwa bure kabisa hakuwa akimridhisha Pia Vera alidai Otile alikuwa kapigika kipesa hivyo alikuwa tegemezi Kwake -

Hata hivyo, Otile amesema kwa namna moja au nyingine penzi na Vera ilisaidia career yake kimuziki

Kwasasa Vera anatajwa kutoka na Jimmy Chansa ambaye ni Daktari na msanii chipukizi Bongofleva
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad