Tanasha Afunguka Madai ya Mondi Kuchepuka na MREMBO Anaitwa Rose

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MPENZI wa msanii Diamond Platinumz, Tanasha Donna hatimaye amevunja kimya chake baada ya kuibuka kwa maneno kuwa mwanamuziki huyo ana uhusiano wa pembeni.

Diamond anadaiwa kuwa katika uhusiano mwingine na mrembo wa Tanzania yapata miezi sita tu baada ya kumkaribisha mwanawe wa kiume Naseeb Junior.


Mama huyo wa mtoto mmoja kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliwaomba watu kukoma kueneza habari ambazo macho yao hayajashuhudia kwa kutumia mdomo. Ni bayana kuwa mrembo huyo alikuwa anajibu madai kuwa mpenziwe ana uhusiano na mwanadada kwa jina Rose.

Katika hali ya kuzima fununu kuhusu uhusiano wake, mtangazaji huyo wa radio ya NRG alisema mapenzi yake na Diamond hayawezi kuvunjika. Tanasha alichapisha picha yake na Diamond katika hali ya mahaba na kuonyesha kuwa hawawezi kutengana hivi karibuni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad