Fahyma "Mkumbuke Mimi ni Mwanamke wa Kitanga Siwezi Achwa Kirahisi Rayvanny Yupo Kiganjani Mwangu""

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkumbuke Mimi ni mtoto wa Kitanga siwezi Kuachika Kirahisi rahisi kama watu wanavyofikiria Rayvnny Yupo Kiganjani Mwangu namfanya navyotaka"
Ikumbukwe Rayvanny na Fahyma ni wazazi wa mtoto mmoja ambao hivi karibuni uhusiano wao ulivunjika na kila mtu kuchukua hamsini zake

Je Una Maoni gani kuhusu hilo tamko la Fahyma na Je kuna mahusiano gani ya kuwa Mtanga na Mapenzi???
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad