Waziri Selemani Jafo Ameagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Mtumishi wa Halmashauri ya Kilosa Aliyeonekana Akichana Quran

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo ameagiza kusimamishwa kazi kwa mtumishi wa Halimashauri ya Kilosa aliyetambulika kwa jina la Daniel aliyeonekana katika Mitandao ya kijamii akichana kitabu kitakatifu cha Quran.

Wakati huo huo RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Maleki, kwa kosa la kuchana na kuchoma moto kitabu cha Juzuu Amma ambacho ni sehemu ya Quran Tukufu.

“Maleki ni Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, alionekana akichana na kuchoma kitabu hicho Kitakatifu cha dini ya Kiislamu, kitendo ambacho kiliwakasirisha Waumini wa dini hiyo na wananchi waliokuwa maeneo hayo na kuamua kutoa taarifa kwa Polisi” RPC Mutafungwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Danieli, Sisi Watanzania tunaheshimu Diini zote na ni Waumini wa Dini tofauti.

    Kitendo chako, ni udhalilishaji na utovu wa Nidhamu wa hali ya juu kuto HeshimuMaandiko Mtakatiu na ni bora wakuhifadhi kwa Ualama wako kabla ya Waisilamu awajachukua hatua za Jazba mikononi kwa Udhailishaji huu. Raisi wetu siku zote anatuasa tuumtanguliize mungumbele katika kila jambo letu ukiwemo wewe ktikakazi zako na kama huwezi hilo basi kaa pembeni Laana ikufikie peke yako.

    ReplyDelete
  2. Danieli, Sisi Watanzania tunaheshimu Dini zote na ni Waumini wa Dini tofauti.

    Kitendo chako, ni udhalilishaji na utovu wa Nidhamu wa hali ya juu kuto HeshimuMaandiko Mtakatiu na ni bora wakuhifadhi kwa Ualama wako kabla ya Waisilamu awajachukua hatua za Jazba mikononi kwa Udhailishaji huu. Raisi wetu siku zote anatuasa tuumtanguliize mungumbele katika kila jambo letu ukiwemo wewe ktikakazi zako na kama huwezi hilo basi kaa pembeni Laana ikufikie peke yako.

    ReplyDelete
  3. Danieli, Sisi Watanzania tunaheshimu Dini zote na ni Waumini wa Dini tofauti.

    Kitendo chako, ni udhalilishaji na utovu wa Nidhamu wa hali ya juu kuto Heshimu Maandiko Matakatifu, na ni bora wakuhifadhi kwa Usalama wako kabla ya Waisilamu hawajachukua hatua za Jazba mikononi mwao kwa Udhailishaji huu.

    Raisi wetu, siku zote anatuasa tuumtangulize mungumbele katika kila jambo letu ukiwemo wewe ktikakazi zako na kama huwezi hilo basi kaa pembeni Laana ikufikie peke yako.

    ReplyDelete

Top Post Ad