AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hemedy PHD ni mmoja wa wasanii ambao ameajaliwa kuwa na watoto wengi ambao kila mmoja ana mama yake, amefunguka kusema bado ataendelea na tabia hiyo kwa sababu mbegu yake ni adimu na yupo vizuri kuwashughulikia vijana wa taifa hili.
Akiieleza EATV & EA Radio Digital, Hemedy PHD amesema yeye bado hajaoa na hategemi kuoa siku za hivi karibuni, na mbegu yake bado ni mbichi pia anatumia "mkongo" ili kufanya shughuli hiyo.
"Bado sijaoa mbegu yangu ni mbichi natumia mkongo kila siku, tegemea watoto wengi sana hii mbegu ni adimu, sijui nitakuwa nao wangapi kwa sababu watoto ni majaliwa ya Mungu ila nina mkongo wa kutosha kuwashughulikia vijana wa taifa hili" amesema Hemedy PHD.
Msanii huyo wa filamu na muziki ameendelea kusema "Haimaanishi ukiona mwenzako ameoa na wewe ufanye hivyo, mwisho wa siku utakuja kuchukuliwa mkeo utakuwa umeolea watu wengine, bora uchukue muda wa kuchagua mwanamke atakayekufaa na kukuelewa wewe" ameongeza
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
We vp Emedi. Tausi Si tiyari.
ReplyDeleteBado Dora... Ulisha mwambia nasikia bado anafikiria.
DeleteUsilazie Damu Emedi.
Na mbuta Nanga. Siku ile iliishaje
ReplyDelete