Kipa wa Liverpool Agoma Kula Bata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kipa wa Liverpool Alisson Becker raia wa Brazil amegomea kula bata wakati wa mapumziko na badala yake anaendelea kufanya mazoezi kujiweka fiti.

Mlinda mlango huyo ana jumla ya Clean Sheet 30 tangu aanze kuitumikia timu ya Liverpool.

Wakati huu wa mapumziko anaendelea kupiga tizi na timu ya Fluminense ya Brazil.

Inaelezwa kuwa kila siku anaonekana mazoezini kwenye timu hiyo akiwa na kakaye Muriel ambaye anaidakika timu ya Rio De Janeiro ya Ligi Kuu ya Brazil.

Mastaa wenzake wa Liverpool wengine wamekwenda Dubai kula bata.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad