Mrembo Aliyempokonya EBITOKE Mpenzi...Ambwaga na Kumkana Mlema na Kuhamia Kwa Bishoo Q Boy Msafi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TAARIFA ZA KIMBEA:
Kutoka Chimbo lenye habari za uhakika kutoka kwa Snitch wetu inasemekana Mzee Baba Mlela kaachwa na Beyonce wa Buza nasasa Yupo na Mkali QBOY MSAFI

Beyonce wa Buza Amesema:
"Mimi sikuwahi kutoka kimapenzi na Mlela yule ni kama kaka angu na wala hatujawahi kukiss tulikuwa tuna act tu...Q boy ndo mpenzi wake"

Q boy amesema:
"Safari ya Kigoma baada ya kusamehana na Diamond ndo imefanya mimi nikakutana na Beyonce wa Buza na sasa tuko pamoja, Mlela kama kaka nitamwalika kwenye harusi yangu aje kama kaka"


Q Boy Ameandika Haya Jana Kwenye Ukurasa wake wa Instagran
Siitaj Bodygard wala mbwa Wakunilindia mali zangu...Mungu pekee na imani yangu niliokuwanayo na mapenzi ya dhati kwako...ndio silaha pekee nayojivunia nakujiona ndani ya tabasaam lako..❤️..#myvalentine


VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad