Virusi vya Corona: Idadi ya Waliokufa yafikia 811

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Idadi ya waliokufa kutokana na maambukizi ya virusi vya corona nchini China imeongezeka kwa vifo 89 na kufikia watu 811.

Mmarekani na Mjapani pia ni miongoni mwa waliokufa. Watu hao ni raia wa kwanza wa kigeni kufa tangu kuzuka kwa mripuko huo.

Shirika la afya duniani limesema kumekuwa na jumla ya maambukizi 34,800 duniani kote. Eneo lililoathirika zaidi ni China Bara, ambako kumethibitishwa watu 34,546 walioambukizwa.

Raia watano wa Uingereza akiwemo mtoto wamegundulika kuwa na virusi hivyo nchini Ufaransa. Waziri wa Afya wa Ufaransa Agnes Buzyn amesema raia hayo waliambukizwa na raia mwingine wa Uingereza ambae katika siku za hivi karibuni alikuwa nchini Singapore.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad