3/25/2020

Serikali Yatangaza Nafasi za Kazi 1000 za Madaktari....Bofya Hapa Kujua Zaidi

Serikali Yatangaza Nafasi za Kazi 1000 za Madaktari....

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira ya Madaktari 1000 watakaofanya kazi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.

Hivyo, Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuwatangazia Madaktari wa Binadamu na Meno waliohitimu katika vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali kuwasilisha maombi ya nafasi za ajira kuanzia leo tarehe 24/03/2020 ili kujaza nafasi mbalimbali katika Hospitali za Halmashauri na Vituo vya Afya

Bofya link ifuatayo kusoma zaidi na kuapply

BOFYA HAPA
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger