BREAKING News: Hatimaye Meneja wa Diamond, Sallam SK Ajitangaza Mwenyewe Kuwa Ana Umwa Corona..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Meneja wa Diamond Platnumz amejitokeza mwenyewe na Kutangaza kuwa ana Corona Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

Ameandika hivi:

HABARI...!! Napenda kuwajulisha na kuwatoa hofu ndugu, jamaa na marafiki kuwa nimepata majibu ya vipimo na nimeonekana nikiwa na Corona Virus, kwa sasa nipo chini ya uwangalizi mzuri na afya yangu inaendelea vizuri, pia niishukuru serikali kwa maandalizi mazuri na huduma nayopata wodini, Kwenye kituo toka juzi nipo peke yangu kama nimekikodisha vile 😅, wahudumu wanaushirikiano mzuri Mungu awalinde na awape afya njema maana wamejitolea nafasi zao kutupatia huduma sisi waathirika, hili janga la kimataifa linakwepeka kama tutafuata ushauri nasaha kutoka kwenye Wizara husika, naomba kwa wote tuwe salama na familia zetu, tuchukue tahadhari mapema. Be Strong and Be Safe Everyone out there #AllahBlessUsAll


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad