Kumekuchaaa Mtaa wa 7 Esma Platnumz Na Petitman Wapigana BLOCK Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mastaa wawili ambao ni wapenzi Esma Platnumz na Petitman anasemekana hapatoshi kwani baada ya hivi karibuni kurudiana kwa mbwebwe za mtaa wa Saba zinasema wapigana chini tena , Hizi tetesi zimepigiliwa msumari wa zege baada ya wao wawili kuonekana Wameblokiana kwenye Mtandao wa Instagram kama inavyoonyesha hapo juu kwenye picha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad