3/31/2020

Nahodha wa Aston Villa Jack Grealish aomba radhiNahodha wa timu ya soka Aston Villa Jack Grealish ameomba radhi baada ya kupigwa faini kwa kosa la kuvunja sheria zilizowekwa na serikali ya nchi hiyo za kuwataka wananchi kubaki nyumbani, ili kuzuia ya maambukizi ya Corona

Siku moja kabla ya tukio hilo Grealish alihusishwa kwenye ajali jijini Birmigham baada ya kuonekana kwenye picha karibu na tukio hilo, ikisemekana ilitoka kumtembelea rafiki yake. #KilichoBoraKabisa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger