3/28/2020

Mrembo Nicole Akiwa Shambani Kwake Anapotelea PESA za Kutanua Nchi za nje..Wadau Wamshukia

Mrembo Nicole ambaye amejizolea umaarufu mitandaoni Hivi karibuni kutokana na shepu na Makalio yake kuwa Makubwa, Hatimaye ametuonesha kazi za Kilimo anazofanya Mkoani Iringa.. Hapa akiwa katika majaruba yake ya Mpunga

Nicole alishakaririwa akisema kuwa hela zinazomfanya atanue duniani kote kwa safari nyingi za nje zinatoka kwenye shughuli za kilimo anazofanya

Soma Comments za wadau baada ya Nicole kupost picha hizo akiwa shambani:

Anaonyesha mkulima ajui ata jinsi yakushika jembe

verinto's profile picture

Yani skuizi matako tu yanafanya mtu anakua maarufu

Huyu analima, anaigiza? Nani analima akiwa kavaa SANDALS? Mammaer zake, aangalie vtu vya kufake sio kilimo, afu sie wengine jembe tunalijua vzuri!!

Iringa -Mpunga duh!! Sijui maeneo gani yanalimwa mpunga iringa...au ndio yeye anafanya kilimo cha mchele na mpunga?

mtaitachimbo's profile picture

Niko tayari kurudi shambani... Jirani yangu huyu yuko maeneo gani.... Maana huu ugonjwa sijawahi pona

ramla_eddy's profile picture

Huyu si yule dada aliyesema analima mchele na mpunga
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger