Zitto Ataka Bunge, Mahakama Kusitishwa Kujikinga Dhidi Ya Corona

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waitara na Zitto Kabwe Moto Unawaka Bungeni, Pilipili imetiwa ...Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe ametaka vikao vya bunge la bajeti kuhairishwa kwa muda mpaka mwenzi Mei ili kuzuia ueneaji wa virusi vya Corona vinavyosabaisha ugonjwa wa Covid9

Zitto ametoa ujumbe huo kwenye barua yake alimuandiia rias wa jamhuri ya muungano ww Tanznaia ikiwa ni sehu myanushauri kwa serikali juu ya ugonjwa huo uliua zadia ya watu 19,000 dunia kote

“Nimeuomba Mheshimiwa rais kwa heshima kubwa kabisa haua zichukuliwa kusimaisha vikao vyote vya serikali mahakama na kadhalika bunge linaweza kukutana mwezi Mei tukiondokana na janga hili tukajadili bajeti ya serikali kwa mwezi mmoja tukamaliza naomba kusisitisha jambo hili tusitoe picha mbaya kwa watoto tuliowarusha nyumbani,lakini wanatuona wazazi wao tukiendela na mikusanyiko  nimeomba mheshimiwa rais yeye kama mkuu wa nchi akionekana hajali picha inayotoka kwa nchi ni kwamba ugomjwa huu ni poa tu” amesema Zitto 

Aidha Zitto amesema kuwa anafahamu kuwa wananchi wengi wa Tanzania ni lazima waaamke asubih ili wanendele kupata chakula cha kila siku lakini ameshauri wakati kama huu shuguli hizi za kawaida zisimamishwe kwa muda ili kuzia ugonjwa huu kuenea zaidi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukitaka kumeza huyu Dogo... unaminya Kile kitecno chake.. halafu copypaste hakua tena stilulas pekeji huyu ssaziya niSteve Nelee ati wa wapihuyu?

    Juzi katoa kubwa akijua fika kwamba M/kiti aliepewa Ufawihi wa Kolonani Mh. K. Majaliwa yy kilaza anaruka ngazi sasa sijui Anuani aliyotumia huyu mzamiai ni sahihi na leo analukia Mada nyingine yote kupotezea Ziara yake kwa Mbuta Nanga na Mgao.

    Yule asyilamu seka kanusulikalona.
    mjuze aludi kalona halaka kabla ppt haijafa ss hv kunaa eppt. Au ametusua!

    ReplyDelete
  2. Ukitaka kumeza huyu Dogo... unaminya Kile kitecno chake.. halafu copypaste hakua tena stimulas pekeji huyu saizi yake ni Steve Nyelele( MB mtarajiwa) ati wa wapi huyu?

    Juzi katoa kubwa akijua fika kwamba M/kiti aliepewa Ufawidhi wa Kolona ni Mh.K. Majaliwa yy kilaza anaruka ngazi sasa sijui Anuani aliyotumia huyu mzamiai ni sahihi!! na leo analukia Mada nyingine yote kupotezea Ziara yake kwa Mbuta Nanga na Mgao.

    Kesho atakuwwa msemaji na daki tali wa hiari..Luku alisha maliza deni??

    Yule asyilamu seka kanusulikalona.
    mjuze aludi kalona halaka kabla ppt haijafa ss hv kunaa eppt. Au ametusua!

    ReplyDelete
  3. Mtowe mbona huyu Dogo anakupakazia.!!
    Kweli uliingia ktk hayo?

    ReplyDelete
  4. Hamna Dili hapa,
    Dogo Juni utaweweseka zaidi.
    KwaHeri.

    ReplyDelete

Top Post Ad