Spike Ndugai "Bunge Limeshalipa Stahiki Zote za Tundu Lissu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wakati akitoa mapungufu ya hotuba ya kambi rasmi ya upinzani, Spika Job Ndugai amesema moja ya mambo yaliyomo katika hotuba ya upinzani ni madai ya mishahara ya Tundu Lissu, ambapo amedai Lissu alipositishiwa Ubunge alikuwa hadai hata mia

Pia kasoro nyingine ya hotuba hiyo ni kunyanyaswa kwa Kiongozi wa Kambi ya upinzani ikiwemo kunyimwa nyumba, gari ambapo aliagiza uongozi wa Bunge kufuatilia

Baadhi ya kasoro alizoanisha ni makosa ya kimaandishi 'spelling mistakes', kuzungumzia mambo ambayo yeye anasema ni kuingilia Uhuru wa Mahakama, kutumia vibaya jina la Rais na mengineyo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad