5/28/2020

Mwanamume Aliyedai Kuwa Baba Mtoto wa Tanasha Donna Azungumza Baada ya Tanasha Kumtishia KumshtakiHatimaye Mwijaku ameamua kuzungumza baada ya Tanasha Donna kumtishia kumshtaki kwa ajili ya kusambaza uvumi wa uongo kuhusu mwanawe Naseeb Junior.

Hii ni baada ya wiki chache, ambapo Mwikaju akiwa katika mahojiano na Wasafi Media alidai kuwa ndiye baba Naseeb hata kusema kuwa wawili hao wanafanana kama mapacha lakini mwanahabari huyo kwa kweli alikuwa amevuka mipaka. Kupitia kwa mitandao ya kijamii, picha yake Naseeb ilitamba sana huku Mwikaju akiweka picha inayofanana na ya mtoto wa Tanasha ili kuthibitisha matamshi yake.

Lakini kwa bahati mbaya, Ray C alikuwa tayari kumnyamzisha. Ray C alisema kuwa matamshi ya mwanaume hayo yalikuwa ya kukera mama yake Naseeb Tanasha na kumshushia heshima.

Ray C alikuwa na haya ya kusema,

Duniani hakuna alio Kamili…kuna vitu sisi kama binadamu tunafanya vya kipuuzi sana ila kuna muda mtu mwingine atakuchukulia aje kibinadamu. This is so wrong on so many levels. Kama baba mwenye familia yake sidhani hii kitu inachekesha. This is unacceptable. Kuna watu wanaatharikia kisaikolojia kabisa sababu ya #cyberbullying Mwikaju haufanyi Sawa hata kidogo…. Na nchi za wenzetu ungekuwa ushawekwa ndani for this….”Ray C Alizungumza.

Tanasha hakuchukua muda mrefu bali alijibu na kusema,

Je, Mama Dangote alivuruga uhusiano wa mwanawe na Tanasha? Uncle Shamte azungumza
“EMPTY VESSELS MAKE THE LOUDEST NOISE SIS. You know EMPTY? 😂 he will soon be receiving a letter from my lawyer soon. Let’s see if he’ll still be as enthusiastic by the time he’s in court.”

Hata hivyo, Mwijakuu alikana kusema madai hayo na kueleza kuwa Kigoma ambapo wametoka na Diamond huwa wanaitana mandugu kwa kila mtu na hata kuita mtoto wa ndugu wake wako.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger