5/26/2020

Chin Beez Amkataa Wema Sepetu LIVE...."Kama ni Kutoka Nae Yule Niku Hit and Run Siwezi Kukaa"

Mwanamuziki wa Bongofleva Mwenye Miondoko ya "Kufoka Foka" "Trap" Chin Beez Anasema Yeye Hawezi Kuishi Moja Kwa Moja Kwenye Mausiano na Star wa Bongomovie Wema Sepetu Kwa Sababu Zake za Msingi, Ila Moja Alisema Kuishi Nae Wema Sepetu Kwenye Mausiano Moja Kwa Moja ni Changamoto, Kwaiyo Hawezi Kuishi Nae Kwenye Mausiano...Anasema yeye ikitokea yupo nae basi atapiga na kukimbia yaani kwa kizungu Hit and Run

Nini Maoni Yako Kuhusu Swala Hili Tafadhali Tuambie Hapa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger