Diamond Platnumz Adhibitisha Kuwa Yeye ni Mkubwa Kuliko BurnaBoy...Atuzwa Ufalme wa Kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali

Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show

Katika channel ya Youtube ya MTV Base Africa katika comments 1650, hadi sasa wengi waliokomenti ni watu wa nje na katika comments hizo asilimia takribani watu 9 katika kila watu 10 wamemzungumzia na kumpongeza msanii wetu Diamond Platnumz

Watu kutoka pande marekani, dubai, london, nk walitoa yao ya moyoni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad