5/26/2020

Dully Sykes Alivyowakutanisha Mr Blue na Joslin Katika Wimbo wa Dhahabu Bila Wao Kujua


Wimbo wa dhahabu ya Dully Sykes ulifanya vizuri sana miaka 12 iliyopita, ambapo aliwashirikisha Mr Blue na Joslin bila ya wao kujijua kwa sababu kipindi hicho wawili hao  walikuwa na bifu na kushindanishwa.

Sasa Dully Sykes ametueleza historia ya wimbo huo kwa kusema alikuwa hana mpango wa kumshirikisha Joslin, pia aliingia studio na wanawake wawili kisha kuipa mgongo mike wakati anarekodi.

"Ngoma ilikuwa ni kumshirikisha Mr Blue peke yake lakini siku ambayo mimi narekodi Joslin alikuwepo studio , kipindi hicho hakukuwa na mahusiano mazuri kati Mr Blue na Joslin nikaona hii idea  inaweza ikaleta nguvu kwenye ngoma yangu, hata wakati wakuingiza verse kila mtu aliingiza kivyake bila ya wao kuwaambia na kwenye ushindani walikuwa wanashindanishwa wao tu".
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger