AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, amesema watampigania mwanachama wao Nyagali Mdude hata kama haki yake itachelewa.
“Kamanda @chadema Mdude tutakupigania hata kama haki yako itachelewa … Hatutachoka walijaribu kukuua mara tatu, Mungu akakataa,” aliandika Mdee katika ukurasa wake wa twitter
“Eti leo umekuwa mhujumu uchumi eti nawe unashughulika na dawa za kulevya? Giza haiwezi shida nuru. Pambazuko linakaribia,” aliandika Mdee
Kamanda @ChademaMdude!!Tutakupigania, hata kama HAKI yako ITACHELEWA...HATUTACHOKA. Walijaribu kukuua MARA TATU, Mungu akakataa!! Eti leo umekuwa MHUJUMU UCHUMI??eti NAWE unashughulika na DAWA za KULEVYA??GIZA haiwezi shinda NURU.Pambazuko LINAKARIBIA.— Halima James Mdee (@halimamdee) May 13, 2020
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ahaa, sasa hili Genge na wewe kigori upo.?
ReplyDelete