Kumekucha Huko...Balozi wa KENYA Aibuka...Rais Kenyatta Amenituma, Kenya Haiingilii Tanzania Adui Yetu ni Corona"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia JPM, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli” -Dany Kazungu, Balozi wa Kenya nchini Tanzania

“Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi”-Balozi Kazungu

“Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza” -Balozi Kazungu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Balozi Kazungu pls... We understand your Gov positions.

    Sisi NI wamoja. Isie escalation into Mitandao na kuanzia kujibizana. MAADUI WATAKAO FURAHIA NA KUYAVALIA NJUGA NI WENGI.

    NAOMBA HII IWE NI MWISHO I CASE OF ANY BILATERAL COMMUNICATION
    IS DEEMED NECESSARY KABUDI NDUBARO THEY ARE THERE NI WATU WENYE BUSARA NA WASTAARABU.

    PRES UHURU NI NDUGU YETU NA TUMEOANA KENYA NA TANZANIA Will never be apart in all senses.

    CORONA IS OUR COMMON ENEMY EVERY ONE OF US HAS THE RIGHT TO EXCERCIZ ANY MEASURES THAT DEEMED AS FIT ITS SOCIETY. WATENDAJI NA WAHABARISHAJI YA UHUSIANO WETU WA KINDUGU TUMIENI BUSARA ZENU.

    ReplyDelete

Top Post Ad