5/27/2020

Msanii kutoka nchini Nigeria Yemi Alade Avunja Rekodi ya Kuwa Msanii Mwanamke wa Kwanza Africa Kufikisha Watazamaji Milion 100 Youtube

Msanii kutoka nchini Nigeria Yemi Alade ndiye msanii wa kike wa kwanza Afrika kufikisha video yenye watazamaji Milioni 100 kwenye Mtandao wa YouTube

Yemi Alade ameiandika rekodi hiyo kupitia video ya wimbo wake wa #Johnny aliouachia mwaka 2014 ambao mpaka sasa una jumla ya watazamaji zaidi ya Milioni 117 kwenye Mtandao wa YouTube
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger