Mtoto wa Magufuli Apona Corona kwa Kujifukiza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema kuwa mtoto wake mwenyewe alipata maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa covid -19 lakini amepona kwa kujifukiza.

Amebainisha hayo leo alipokuwa anatoa salamu zake baada ya kushiriki ibada ya jumapili katika ushirika wa KKKT Chato mkoani Geita na kubanisha kuwa hofu juu ya corona ni hatari zaidi kuliko ugonjwa wenyewe.

Katika kuthibitisha hilo ameamua kutolea mfano jinsi corona ilivyoingia kwenye familia yake na kusema kuwa mtoto wake mwenyewe alipata ugonjwa huo hivyo anaufahamu.

Ndugu wanne wafariki kwenye tope wakimwokoa mwenzao
“Mimi ninapozungumza hapa nina mtoto wangu alipata corona, mtoto wa kuzaa mimi, amejifungia kwenye chumba akaanza kujitibu amejifukizia akanywa malimao na tangawizi amepona mzima sasa anapiga push up” Amesema Rais Magufuli.

Amesema wananchi wanapaswa kufahamu kuwa ugonjwa huu utasambaa lakini baadaye utaisha, na wananchi hawanabudi kuendelea kuchukua tahadhari za kujikinga.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad