5/26/2020

Sakala la Babu Tale na Sallam SK Kutoelewana...Suma Lee Afunguka Yote...

Kupitie Interview Yake Alie Kua Msanii wa Bongofleva Jina Suma Lee/Hakunaga Katika Kipindi Cha Wasafifm Maojiano na Mtangazaji Lil Ommy, Hakuna Amesame Haya:-

"Utofauti wa Babutale na Sallam Ulikuwepo Mkubwa Sana, Kwa Sababu Lugha Ambozo Anaziongea Babutale Sallam Yeye Hazielewi, Vitu Ambavyo Mfumo Anataka Apite Babutale Sallam Yeye Alikua Havielewi, Yani Walikuwa ni Watu Ambao Wakikutana Wakiongea Dakika Mbili, Huyu na Huyu Amuelewi Mwenzie"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger