Timu ya Mpira Yapigwa Faini Kwa Kuingiza Midoli ya Ngono Uwanjani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Club ya FC Seoul ya Korea Kusini imepigwa faini ya pound 66,500 (Tsh milioni 188.4) kutokana na kosa lao la kutumia midoli ya ngono ‘sex dolls’.

FC Seoul ilifanya hivyo na kuiweka midoli hiyo uwanjani kama mashabiki wakati wa mchezo wao wa nyumbani wa Ligi Kuu Korea Kusini dhidi ya uliyomalizika kwa FC Seoul kushinda 1-0.

Ligi Kuu Korea kusini ni miongoni mwa Ligi zinazomalizia msimu 2019/20 zikichezw bila mashabiki, huku nyingine zikipanga kurejea hivi karibuni bila mashabiki  sababu ya janga la Corona.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad