Wamarekani Weusi Wakinukisha Mauaji ya George Floyd

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



POLISI na waandamanaji walishambuliana katika jijiji la Minneapolis, Minnesota,  jana (Jumanne) kufuatia maandamano yaliyofanywa kupinga mauaji ya Mmarekani mweusi,  George Floyd, yaliyofanywa na polisi  juzi, Jumatatu.

Mamia ya waandamanaji walikusanyika jijini humo  kutaka haki ifanyike baada ya mauaji hayo ambapo polisi mweupe (Mzungu) alingandamiza kwa goti shingoni akiwa amelala chini wakati anakamatwa. ambapo Floyd alikuwa akipiga kelele “Siwezi kupumua” na “Usiniue!”

Kundi kubwa la waandamanaji wa rangi tofauti lilipita mitaani likipiga kelele na kubeba mabango yaliyokuwa yanashutumu mauaji ya watu weusi na kutaka hatua kali zichukuliwe kwa wahusika, hususan polisi.

Baadhi ya mabango waliyokuwa wamebeba waandamanji.



Meya wa jiji la Minneapolis , Jacob Frey, aliomba radhi kwa familia ya Floyd jana na kusema “Floyd hakutakiwa kufa.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad