5/22/2020

Waziri Ummy Atoa Shukrani Rwa Rais Magufuli Baada ya Kupewa Pongezi“Asante Rais Magufuli kwa kuendelea kuniamini na kunitia moyo katika kusimamia Sekta ya Afya nchini hasa kipindi hiki cha mapambano dhidi ya #COVID19, naahidi kuendelea kuitumikia Nchi yangu kwa bidii, uaminifu na maarifa zaidi”-Ummy baada ya pongezi za JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger