DC Jokate agawa sukari kwa wanafunzi Kisarawe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mkuu Wa Wilaya Ya Kisalawe Jokate Mwengelo  Ametoa Sukari Kwa Wakuu Wa Shule Zote Za Msingi Na Sekondari Za Wiliayani Humo Ikiwa Ni Sehemu Yakutaka Kuwapunguzia Mizigo Wazazi Kidogo Kwenye Michango Ya Lishe. 


Kutoka Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram MHE JOKATE MWEGELO Ameandika..... 
‪''Tukiwa tunelekea kufungua shule tarehe 29/06. Ijumaa iliyopita tulikabidhi sukari kwa wakuu wa shule zote za Serikali- Msingi na Sekondari Kisarawe sukari kwa ajili ya kusaidia masuala ya watoto kupata uji/chai wakiwa shuleni na kuwatua kidogo mzigo wazazi katika michango ya lishe'' @jokatemwegelo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad