6/28/2020

ESMA Aongea Kwa Uchungu na JUMA Kifo Cha Mke wa BABU TALE "Nimeumia Nilikua Sijui Kama AnaumwaJuma Lukole "Mke wa Babu Tale ndio aliniambia nikazie kuwa mbeya kuwa utanitoa kimaisha na kweli umenitoa, pia aliniambia niwe naposti umbea wangu kwa kutumia Codes ili kuepusha Ugomvi na Watu"

Esma "Marehemu alikuwa Msomi, Muda wote mavyuo vyuoo tumepoteza msomi, alikuwa umshauri mzuri sana kwa watu , alimpenda sana babu Tale na Babu Tale Alikuwa anampenda mke wake, Walikuwa Marafiki kweli "
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger