Membe: Nimefukuzwa CCM bila idhini ya NEC wakinisafisha kesho asubuhi natinga kuchukua fomu ya urais

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, amesema kuna Clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa kesho atakwenda kuchukua fomu ya Urais jambo ambalo sio la kweli.

“Si kweli Clip hiyo imechakachuliwa! Nilisema jana kuwa mimi nimefukuzwa CCM  na kamati Kuu bila ya idhini ya NEC,” aliandika Membe katika ukurasa wake wa twitter.

“Kama kamati kuu itanisafisha na kusema kuwa mimi bado ni mwana CCM tutajaza kugombea urais j3 asubuhi,”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad