Meneja wa Nyota wa Muziki Diamond Platnumz, Sallam SK Afunguka Kuhusu Taarifa za Kutishiwa Bastola na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa nyota wa muziki Diamond Platnumz, Sallam SK amekanusha taarifa zinazoendelea kusambazwa mtandaoni kuwa amepishana kauli na nyota huyo kiasi cha kutolewa 'Bastola'.

Akizungumza na *DizzimOnline kuhusu taarifa hizo zisizo rasmi, Meneja Sallam alidai kuwa hakuna kitu kama hicho na taarifa hizo ni za kubuni 'kidaku' tu.

"Achana na udaku maana hata bastola yenyewe Diamond hana" alisema sallam_sk.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad