Penzi la House Girl Halijawahi Kumwacha Mtu salama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakuu
Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya!

Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa
Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu

Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal

Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja
siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu!
Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua!

By Ryan Babel/JF

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kamata housegirl ni mtamu kinyama ila linda mazoea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanandoa, masha bora yanawezekana bila hata ya housegirls. Wa nini housegirls? Kama wewe wapenda housegirls kwa nini basi hukuamua kuishi nao na ukaenda danganya binti wa watu eti wataka mke kumbe tapeli huitaji mke ila house girls. Nanyi wanawake kwanini mwaweka housegirls?! Akusaidie nini? Kama kufua tafuta machine ya kufua badala ya kutafuta housegirls. Kama kupika, waweza pika jioni au weekend na hidhadhi kwenye jokovu chakula cha week nzima. Kama kuanika nguo tafuta trumbing dryer badala ya house girls. Kama kusafirisha nyumba tafuta day cleaner wa lisaa limoja daily anaweza kuwa kampuni au gender yoyote ili mradi asizoeezoee kwenu. Kama kulea watoto, tafuta kituo cha kulelea badala ya housegirls. Kama kulelea jioni ukienda outing tafuta Yaya mzee kwa mkataba wa masaa badala ya housegirls. Uzinzi wala si burudani kwani unaleta laana, maradhi kwa family na taifa

      Delete

Top Post Ad