AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,William Lukuvi amemfukuza kazi Afisa Ardhi Wilaya ya Arumeru, Nicodemus Hillu kwa kosa la kurejesha eneo lenye ukubwa wa Ekari 3000 kwa Mwekezaji lililokuwa limefutiwa umiliki wake na Rais John Magufuli na kuisabahishia Serikali hasara ya kulipa fidia ya zaidi ya Million tano
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK