7/19/2020

Arsenal Waiadhibu Man City Hao FainaliClub ya Arsenal leo imecheza game ya nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Man City katika uwanja wa Emirates.

Mchezo huo ambao mshindi ndio alikuwa anatinga kucheza fainali ya FA Cup, Arsenal walifanikiwa kushinda 2-0 kwa magoli yaliofungwa na Pierre Emerick-Aubameyang dakika ya 19 na 71.

Mvuto wa mchezo huu ulikuwa zaidi kwa makocha wa timu hizo ambapo kocha wa Man City Pep Guardiola alikuwa anakutana na Kocha wa Arsenal Mikel Arteta ambaye ni msaidizi wake wa zamani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger