Kwanini Ex Wako awe Kama Adui?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kuna siku moja katika pitapita za mitandaoni nkakutana na interview moja Diamond Platnumz sikumbuki alikuwa anahojiwa na mtangazaji gani ila alikuwa akiulizwa maswali kadhaa kuhusu ngoma zake Niache na Sikomi

Diamond anasema alipata idea ya kuandika ile ngoma (Niache) baada, ya kuumuliza rich mavoko kama inatokea umeachana na mpenzi wako inawezakana ukamwombea mema? majibu ya rich yalikuwa ni Hapana ,

Ndipo bwana mkubwa alipopata idea ya ile ngoma iliyojaa maneno ya chuki,laana na dua mbaya kwa mpenzi wake. akimaanisha sio kila mpenzi unaeachana nae utamwombea kheri.

Tuachane na hayo Diamond ni msanii

Lakini kwanini iwe hivi, kwanini katika jamii ijengeke dhana hii mara nyingi (si wote) ,tunaweza tukawa tunacheka nao usoni salamu,mawasiliano ya hapa na pale ila moyoni bado tuna chuki nao

Kwanini iwe hivi lakini?

Binafsi im still keeping my ex pictures , i want to show my kids how SATAN look lik
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad