Mdee Amtumia Sheikh Ponda Ujumbe Mzito "Hakika Utabaki Kwenye Historia ya Nchi Hii"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA) Halima Mdee ametuma ujumbe wa pole kwa katibu wa jumuiya za kiislam nchini Sheikh Issa Ponda baada ya kukamatwa na jeshi la polisi kutokana na kusambaza walaka wa uchochezi.

Mdee ametuka ujumbe huo leo kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter na kudai kuwa Sheikh Ponda atabaki kwenye vitabu vya histori ya nchi kutokana na ujasili wake na kujitoa kwake.

“Sheikh PONDA UTABAKI kwenye HISTORIA ya NCHI hii kwa kuwa miongoni wa VIONGOZI WA DINI wachache SANA mliojitoa KUSIMAMIA HAKI na KWELI! Asante SANA SHUJAA wangu!! “ ameandika Halima Mdee.

Jeshi la polisi nchini lilithibitisha kumkamata Sheikh Ponda mmamo Julai 11,2020 baada ya kusambaa walaka wa uchochezi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad