Mrembo Kwamboka Afunguka ‘Nampenda Frankie Kwa Maana Naweza Toa Hewa Chafu Mbele yake na Hawezi Nihukumu,’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Si la kuficha wala kuuliza, ni wazi kuwa Frankie Kiarie na Corazon Kwamboka ni wachumba na wanatarajia kifungua mimba wao miezi michache ijayo.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya nstagram Coarazon alifichua kuwa alimchagua Frankie kwa maana ni mwanamume mzuri.


“I HONESTLY DIDN’T CHOOSE FRANKIE. WE MET UNDER RANDOM CIRCUMSTANCES AND WE BECAME FRIENDS. THINGS HAPPEN, YOU DON’T CHOOSE WHO YOU FALL IN LOVE WITH. FRANKIE IS A GOOD GUY WE GET ALONG REALLY WELL AND I’M HAPPY WITH MY CHOICE. I LIKE HIM BECAUSE I CAN FART [ A REALLY SMELLY ONE] IN FRONT OF HIM AND HE DOESN’T JUDGE ME.” Alisema Corazon.

Akizungumzia kwa nini aliamua kukaa au kuwa katika mahusiano na wakili Corazon alisema kuwa,

“Ni jambo tu lilitendeka, kwa mara ya kwanza kukutana hatukuwa tanatazamana na wapenzi, nilikuwa namtazama kama mwanasosholaiti ambaye anafahamika sana


Lakini tulipokuwa pamoja tulinyenyekea sana maisha yetu yalikuwa tu sawa na ya kila mwingine tulianza tu kuchumbiana wakati mwingine haupangi jambo linatendeka tu ni kweli.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad