7/20/2020

Sada Mkuya aangukia pua kura za maoniMATOKEO ya kura za maoni kwa wagombea nafasi za Ubunge na Uwakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) ambayo yameanza kutangazwa leo  yameonyesha baadhi wa vigogo wa kisiasa visiwani unguja  wameangushwa akiwemo Saada Mkuya Salum akigombea jimbo la Kikwajuni. 


Mbali na Saada Mkuya aliyeshindwa na Nassor Salim Ali katika nafasi ya Uwakilishi ambaye alipata kura 34 huku yeye akipata kura tisa mwingine aliyeangushwa katika kura hizo za maoni ni Mattar Ali Salum ambae alikuwa Mbunge wa Jimbo la Shauri Moyo Unguja.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger