AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Meneja wa rapa @rosa_ree , John amesema ni kweli wameuondoa wimbo wa Amen wa @harmonize_tz katika mtandao wa YouTube baada ya kutofikia makubaliano.Uongozi wa msanii huyo umedai wamefanya uamuzi huo baada ya muimbaji huyo ‘kukopi biti’ ya wimbo Kanyor Aleng.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK