AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kutoka Mbeya, Leo July 14,2020 Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya mjini kupitia tiketi ya CCM, Dkt.Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za CCM Wilaya akisindikizwa na Mume wake James Andilile Mwainyekule...HUU MCHUANO MKALII SANA... SUGU VS TULIA... NANI ATAIBUKA NA USHINDI??? TOA MAONI YAKO HAPA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mama Tulia yuko vizuri.
ReplyDeleteSugu itabidi atafute AJIRA reception kwake.
Wanambeya wamesha msoma vilivyo au arudi kutupigia Bongo fleva lakini soko limeahabadilisha mchezo wake umepitwa na wakati.
Cheza na Kijani wewe..?
ReplyDeletehalafu mama Msomi na Mwana Sheria..!!!
Sugu, ungana n Vibeko wenzako kuifunga
Ofisi ya Saccozi Ufipa.
Mbeya yetu ina mwenyewe. Na amesha wadia..mpishe Bi Khadijah kwa Heshima
na Taadhima..Ubunge huna na hukuUweza.
Mbeya Oyeee, Kijani Safii..!!