Watoto wa Hayati NELSON Mandela Wafariki Siku Moja.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Asubuhi ya jana zilitoka taarifa za kifo cha Zindzi Mandela, binti wa muasisi wa taifa la Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela.

Taarifa hizo zilisema mwanadiplomasia huyo aliyekuwa na umri wa miaka 59, amefariki dunia jana Julai 13 mjini Johannesburg.

Siku hii imeendelea kuwa mbaya na yenye historia iliyojaa majonzi kwenye familia ya Mandela kwani siku kama ya jana pia (Julai 13, 1969) Madiba Thembekile (Thembi) ambaye alikuwa mtoto wa kwanza wa Nelson Mandela, alifariki dunia kwa ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 24.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad