Wizara ya Afya imekanusha taarifa zilizosambaa mtandaoni kuwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona umeanza upya na kwa kasi hapa nchini.
Taarifa hiyo ya uzushi ilisema kuwa; "kasi ya Corona imeanza tena, tahadhari zinatakiwa kuliko kipindi cha Jan- April, kuna maambukizi mengi hasa maeneo ya Ilala
Mikocheni , Mbezi , Masasani , na juu Kulelekea Bahari na Tegeta"
Wizara ya Afya ilisema kuwa; "TAARIFA HII NI UZUSHI TUNAOMBA IPUUZWE". - #regrann
That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments