Anaandika EDO Kumwembe "Nchi hii timu ikishinda wanasifiwa wachezaji na waganga sio Kocha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

ANAANDIKA EDO KUMWEMBE

Nacheka sana....Nchi ina vichekesho sana hii...Yanga wanalaumiwa kwa issue ya kocha kuchelewa au kutokuja...Tunajisahau tu kwamba sisi wenyewe makocha tosha. Kwani huyo kocha wa Yanga akija unadhani tutaamini kwamba ameongeza kitu? Nchi hii timu ikishinda wanasifiwa wachezaji na waganga..ikifungwa analaumiwa kocha. Kuna kocha gani amewahi kuondoka shujaa hapa nchini? Yaani mashabiki wakaandamana abaki...kila kocha anaonekana hafai na hajui..

Kocha anaipa timu ubingwa na anafukuzwa au anakalia kuti kavu...kamuulize Sven..nchi ya wajuaji hii..wanajua sub, wanajua fomesheni, wanajua kila kitu...tena kuna timu inaongoza kwa watu wajuaji kweli kweli linapofika suala la makocha..hata huyo aliye pichani tungesema ameishiwa maarifa..

UNA MAONI GANI KUHUSIANA NA KAULI YAKE
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad