8/21/2020

Babu Tale na Wabunge Wengine wa Morogoro Wasindikizwa Kuchukua Fomu na Boda Boda


Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kusini Mashariki, Morogoro Hamis Shaban maarufu kama @babutale akiwa na mgombea mwenzie wa Jimbo la Kusini Morogoro Innocent Edward Karoglesi wakiwa wamesindikizwa na Wananchi pamoja na na wanachama wa CCM kwenda kuchukua fomu na kudhaminiwa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger