8/15/2020

Breaking News: Larry Bwalya wa Power Dynamos Atua SimbaNyota kutoka Zambia, Larry Bwalya ametangazwa kusajiliwa na  klabu ya Simba.

Bwalya mwenye umri wa miaka 25 anayecheza nafasi ya kiungo, anakuja nchini baada ya kukamilika kwa makubaliano baina ya klabu yake, Power Dynamos na Simba huku wakiiacha kwenye mataa Yanga ambayo ilikuwa inatajwa kumuwania hapo awali.

Uwezo wa kiungo huyo kupiga pasi za mwisho, kuchezesha timu, kupiga pasi zinazofikia walengwa kwa usahihi pamoja na kufunga mabao, umeonekana kuishawishi Simba ambayo msimu ujao itashiriki katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger