8/06/2020

Breaking News: Rais Magufuli Achukua Fomu ya kugombea UraisRais Dk. John Magufuli leo Alhamisi Agosti 06, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), yaliyopo Njedengwa jijini Dodoma.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger