8/28/2020

Drogba Akatwa Uchaguzi Urais wa FIFKamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Ivory Coast (FIF) imemuengua mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast Didier Drogba katika kinyang’anyiro cha kuwania Urais wa FIF kwa sababu ya kudaiwa document zake hazikukidhi vigezo.

Drogba inadaiwa ndio anapewa kipaumbele zaidi katika mbio za kuwania Urais wa FIF katika uchaguzi mkuu wa FIF unaotarajia kufanyika September 5 2020.

Kwa kuenguliwa huko basi Drogba abapoteza nafasi ya kuwania nafasi ya Urais na kumuacha Sory Diabate na Idriss Diallo katika mbio za kuwani urais huo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger