Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Je unajua ni kitu gani cha kufanya ili usiachwe na mpenzi wako?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Ili kuhakikisha unamdhibiti mpenzi wako asiende kwa mwanaume mwingine hakikisha unamlinda na kumdhibiti dhidi ya mambo yafuatayo.

Yapo madhaifu ambayo wanawake wengi wanayo yanayosababisha aachane na mwenza wake wa awali na kuingia kwenye uhusiano mpya.

Mwanaume unatakiwa kufahamu mambo yafuatayo ili kulinda na kuokoa penzi lako dhidi ya mwanamke uliyenaye kwenye maisha yako.Unaweza kudhani ni sababu za kawaida au ndogo lakini ndizo za msingi na zinazomfanya mwanamke kuwaza kuwa na mtu mwingine.

Kwa upande wa mwanaume ambaye unasaka mwanamke wa kuwa naye kwenye maisha yako unaweza kutumia mbinu na madhaifu ya wanawake kumpata unayemtaka.

Mazoe ya haraka

Wanawake huwa na mazoea ya kumzoea mtu kwa haraka zaidi hivyo ni rahisi sana kwa mwanamke kutengeneza uhusiano wa kihisia na mtu mwingine kwa haraka.

Hii inawafanya kuwa rahisi kumzoea mwanaume na kudhania hayo mazoea aliyoyaanzisha ni mapenzi hali ambayo inamsababisha mwanamke ajikute kashaingia kwenye mapenzi na mwanaume mwingine.

Hupenda kujaliwa

Wanawake wengi wana uwezo wa kupenda mwanaume yoyote anaowaonyesha kuwajali na kuwapa msaada wa kihisia.Ni kweli, kama unataka umuibe mpenzi wa mtu muonyeshe kumjali na kumpa msaada wa kihisia, akiwa na siku mbaya jaribu kuitengeneza iwe nzuri na mpe misaada midogo midogo naye atakupa kitanda cha kulalia.

Hivyo ni rahisi kukumsaliti mpenzi wake na kujikuta ameanzisha uhusiano na mwingine bila kutarajia.

Hutarajia kujenga kizazi bora

Wanawake hupendelea kuendeleza kizazi. Kibaiolojia wameumbwa hivyo kuwa na hitaji la kuendeleza kizazi hivyo hujikuta wanaangalia wanaume wengine wenye sifa nzuri zaidi ya kutayarisha kizazi kijacho.

Hivyo ni rahisi kuingia kwenye uhusiano na mwanaume ambaye anaami ataendeleza na kujenga kizazi kilicho bora katika maisha.

Wageuzi wa mambo

Wanawake huwa ni wageuzi wa mambo. Wanapenda wakiwa na mwanaume wambadili kwa jinsi wamtakavyo wao.

Wakisha mbadili wanaboreka na kuanza kutafuta mwingine, kwa hiyo siku zote msichana asikubadilishe anavyokutaka yeye.

Akikubadilisha tu anaboreka, unakuwa haumpi akshi tena ya kukuona angavu kama awali na wewe na kutafuta mgumu mwingine wa kumfanyia mabadiliko.

Hakikisha asikuelewe na mshtukize kwa mambo ya hapa na pale kumpoteza zaidi.

Vigeugeu

Hawajielewi ni kipi hisia zao zinataka, na huwa hivi mara nyingi. Msichana anaweza kuwa anampenda mwanaume ila mabadiliko ya hisia zao kama kupwa na kupwaa kwa bahari.Kuna wakati atajihisi kukupenda sana na wakati mwingine akawa hana hisia na wewe hata kidogo.

Hivyo unapaswa kumsoma na kuhakikisha hakuyumbishi kwa sababu mwanaume usipomuelewa mnaweza kuachana wakati wowote.

Wanapenda kusifiwa

Wanawake wanapenda kusifiwa na kuonyeshwa kupendwa. Wanawake hujisahau wakianza kusifiwa na kutongozwa kwa kuguswa.

wanaume akianza kumtongoza mwanzo huhisi labda anamtania ila kwa uhalisia inawezekana akawa anaangukia kimapenzi kwa jamaa hata kama jamaa anatania.

Na mwanaume akiendelea kumsifia mwanamke ni rahisi kubadili muelekeo na kuanza kumpenda mwanaume mwingine

Post a Comment

0 Comments