Membe 'Sisi Tulitafuta Wadhamini Kimya Kimya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mgombea Urais wa chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi

Amesema ACT-Wazalendo waliamua kutafuta wadhamini kimya kimya ili kuepuka kuteleza

Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC), Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huu ndio Ustaarabu unaotakiwa na ndio
    mlichofanya kama NCCR. Hao watafuta kiki, Siasa si hulka yao. wao ni fujo
    na wana Matokeo ya Usanii.

    Tutaona mengi Ngonjera zao.

    Faru,Panya, hata Kicheche pia ndani.

    Tunakutakieni Utulivu na Amani ndio kukua na Ustaarabu. Uropokaji na kiki
    hatuna nafasi nao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo Ni Kilaza mwenye Ajenda ya
      kutaka kuipaaka Matope Mama Tanzania.
      Anatumika na Mabeberu baada ya kupata Uraian wa Asylum Ughaibun

      Hakikisheni hati yake inahifadhiwa kwa nia yake ovu ya
      kutamani na kuhamasisha watu kuingia barabarani na kuvunja Amani yetu na Utulivu na yeye anatoroka huu ni mpango kabambempaka gari njia ya kummtoa na madereva wawili na wasindikizaji pia wapo.

      Naomba Simbachawene ajipange na timu zake. Makekele/Sirro/Diwani/Mbongo na
      wahusika wote. Tusiruhusu kuchezeewa Drama na Genge la Wasanii.

      Delete

Top Post Ad